Friday, 2 January 2015

SURVEY VETERANS YAFANYA SHEREHE YA KUUAGA NA KUKARIBISHA MWAKA 2015

Mwenyekiti wa Survey Veterans Sports Club Bw. Peter Mweta aliungana na wachezaji na wanachama  kwa chakula cha mchana klabuni Etina Bar and Restaurant katika sherehe ya kuuaga na kuukaribisha mwaka mpya 2015. Mkurugenzi mtendaji wa Etina Bar and Restaurant alifungua Shampeni kwa ajili ya ufunguzi wa sherehe hiyo. Wanachama na wapenzi walijumuika pamoja katika chakula na vinywaji vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ustadi mkubwa. Matukio ya picha yanaonesha...