Monday, 11 December 2017

MATUKIO YA PICHA KATIKA KUSHEREKEA SIKU YA NDOA YA Bw. ALLY MGAYA

Bwana Harusi Ally Mgaya akiwana na Bw Frank Gasper wakiwa na nyuso za furaha baada ya kukamilisha kisomo ambapo SVSC ilikaribishwa kwa ajili ya chakula cha mchana. Bwana harusi Ally mgaya akiwa amepozi baada ya kumaliza kisomo na ni Muda sasa wadau na majirani kupata chakula Wadau wakijumuika pamoja kwa ajili ya chakula cha mchana ...

MJUMBE KAMATI YA UFUNDI WA SURVEY VETERANS AAGANA NA UKAPERA.

Mjumbe kamati ya ufundi wa SVSC, Bw. Ally Mgaya ameagana na ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba ake. ilikuwa siku kubwa na muhimu sana kwa Bw, Ally na familia nzima ya wana SVSC ambapo walijumika pamoja katika kumpongeza na kumtakia maisha marefu yenye furaha na aman...

MKISI FC YAPIGWA GOLI 7 NA SURVEY VETERANS

Timu ya Mkisi FC ilikiona cha moto pale ilipokubali kichapo cha goli saba bila kutoka tomu ya SVSC. Goli la kwanza la SVSc liliwekwa kimiani na beki hatari Dr Deusdedit Kibasa baada ya kupata pasi kutoka wa mshambuliaji hatari Musa siwiti. Magoli mengine yalifungwa na Silvatory Malongo ambaye alifunga kwa kupiga kichwa hatari kilichomshinda kipa na kutinga wavuni.. Pia Iddy Kaoneka ( Mnyama) alifunga magoli matatu na kunogesha ushindi wa timu...