Monday, 23 September 2019

TIMU YA SVSC YAJIPONGEZI KWA USHINDI

Baadhi ya Wachezaji walijipongeza pale BreakPoint Maeneo ya Posta kufuatia ushindi dhidi ya Gymkana Club. Muuaji wa SVSC Malongo S. Akijipongeza kwa mnvinyo baada ya kuifungia SVSC magoli mawili na uipatia ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Gymana Club ...

SURVEY VETERANS YALIPA KISASI KWA GYMKANA CLUB

Ilikuwa usiku wa furaha sana baada ya Magoli mawili kutoka kwa straika mwenye misuri minene Salvatory Malongo yaliiwezesha timu ya SVSC kuifunga Gymkana kwa magoli 2-1. .....Ukifika golini tulia..... Golikipa Kilibe akimuelekeza malongo atakapokuwa uwanjani. .......Edgar Devis....... wa SVSC Shaban Seleman akipasha misuri moto kabla ya mchezo kuanza.  Mjumbe kamati ya Mchezo Frank Gapser mwenye kofia akiwa anatoa maelekezo...