Wednesday, 12 August 2015

MATUKIO YA PICHA MKOANI MOROGORO KATIKA BONANZA LA NANE NANE

Winga hatari Musa Siwiti kushoto, Carlos Beki kitasa,katikati na  Benson Mwemezi kushoto kabla ya mechi. Dkt,Ngasamiaku kulia msari wa nyuma, Capt Ngasa kulia mbele , Carlos mdogo katikati , Musa Siwiti kushoto na Benson Mwemezi nyuma kushoto na Lila katikati nyuma kabla ya mechi Golikipa wa mashindano Ramadhani mbele, Capt Peter ngasa,kushoto, Carlos, Musa, Benson na Richard lila kabla ya mechi Capt Peter ngasa kulia, Golikipa...

MATUKIO YA PICHA MKOANI MOROGORO KATIKA BONANZA LA NANE NANE

Katibu Mkuuwa SVSC Bw, Suleiman Mgaya,kulia, Kiganga kushoto, Capt Ngassa mwenye jezi ya bluu na Iddi Ngaoneka (mnyama) wakipata kifungua kinywa katika hotel ya Mount Uruguru ambapo timu ilifikia hapo. Musa Siwiti Kulia,(Blogger) Benson Mwemezi (Mhazini Msaidizi, na  Mwalimu wa Timu Bw, Ramadhani Bomba wakipata kifungua kinywa katika hotel ya Mount Uruguru Said Mahoka mwenye Bag mgongoni, David Kiganga mwenye pensi, Musa Siwiti mwenye...

SVSC YATOKA SARE NA MZINGA VETERANS KATIKA BONANZA LA NANE NANE MKOANI MOROGORO

SVSC YATOKA SARE NA MZINGA VETERANS KATIKA BONANZA LA NANE NANE MKOANI MOROGORO Timu ngumu ya SVSC ilitoka sare ya goli 1-1 na timu ya Jeshi ya Mzinga veterans katika michuano ya nane nane iliyofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Mwele mkoani morogoro. Timu ya Mzinga ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata goli baada ya mabeki wa SVSC kumuacha mshambuliaji wa Mzinga wakizania ameotea. Hadi tunaenda mapumziko timu ya mzinga ilikuwa mbele kwa goli...

SURVEY VETERANS YANYA ZIARA YA MICHEZO YA NANE NANE MKOANI MOROGORO

SURVEY VETERANS YANYA ZIARA YA MICHEZO YA NANE NANE MKOANI MOROGORO Kikosi cha maangamizi kikiwa katika jezi ya ushindi. Mara nyingi timu imekuwa ikipata matokeo mazuri ikiwa na jezi hii ukilinganisha na jezi za rangi nyingine... Timu maarufu na kongwe ya SVSC kutoka jijini Dar es salaam ilishiriki bonanza la nane nane lililofanyika mkoani morogoro kwa mafanikio makubwa. Timu ya SVSC iliweza kuilaza timu ngumu ya Morogoro Veterans kwa magoli...