Sunday, 15 March 2015

TIMU YA VIJANA YA KIBANGU YAIFUNGA TIMU YA WAZEE WA SURVEY VETERANS MAGOLI 7-3

Katika maandalizi yake ya kwenda Zanzibar kushiriki Bonanza la Pasaka, Timu ya SVSC iliialika timu ya Vijana ya Kibangu ambayo ina wachezaji wengi wanaochezea timu mbali mbali za ligi daraja la kwanza na la pili Taifa, ili kujipima nguvu na kuona kama inaweza kuhimili mikikimikiki ya Bonanza ambapo baadhi ya timu huko Zanzibar huchezesha vijana. Iliwachukua dk 10 tu vijana wa Kibangu kupata bao la kuongozabada ya mabeki wa timu ya SVSC kuzembea. Timu ya Wazee wa Survey ambayo jana ilikuwa haina golikipa wake hatari, ambaye alikuwa anauguliwa,...