
Timu ngumu mkoa wa Dar es salaam Survey veterans jana ilipeleka kilio tena kwa wenzao wa NSSF Veterans walipojaribu kujiuliza tena baada ya mechi ya awali kutoka sare na SVSC kwa kuwafunga bao 2-1. Pasi nzuri kutoka kwa foward hatari Benson Mwemezi ilimfikia Winga hatari Musa Siwiti na kuukwamisha mpira wavuni na kuandika bao la kuongoza katika dakika 15 ya kipindi cha kwanza.Pia winga hatari Musa Siwiti nusura aipatie SVSC bao la pili...