Baada ya mchezo mzuri kulikuwa na ukaribisho wa kifungua kinywa kutoka kwa wenyeji wetu . Mwenyekiti SVSC Bw Peter Mweta akiwatambulisha wageni kwa Katibu wa Boko Beach Veterans
...
Mwalim Bomba akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo kuanza
Kiganga kulia na Benson Mwemezi
Peter NGasa Kushoto,James Kabambo,Maulasa mstari wa mbele, Musa Siwiti, Kiwanga,Salum Mvule na Mahoka Saidi Mstari wa nyuma.
Ahmed Salum na James Kabambo
Musa Siwiti (Blogger)
Fransis Kiwanga kabla ya mchezo
Rasul Ahmed kabla ya mchezo
...
Wote tembea mbele.....
Wakiwa mazoezini
...Wote chini....
Kiongozi wa Mazoezi Mahoka Said akiwaongoza wachezaji katika kujiandaa na mchezo
kutoka kulia, Athuman Kione, Rasul Ahmed,Musa Siwiti, Maulasa na Fransis Kiwanga wakifanya mazoezi mepesi kabla ya mchezo kuanz...
BOKO BEACH VETERANS YALALA KATIKA UWANJA WAKE WA NYUMBANI
Timu ya BBV ilijikuta katika wakati mgumu ilipokutana na kichapo cha bao 4-2 dhidi ya Survey Veterans katika uwanja wake wa nyumbani. Ikiwa ya kwanza kupata kupitia adhabu ndogo ilipigwa kiufundi na kumgonga mchezaji wao mmoja na mpira kuingia golini na kuhesabu goli la kuongoza.Iliwachukua dk 15 SVSC kusawazisha kupitia kwa Athumani Kione baada ya kuwapiga chenga mabeki wa BBV....