Bw. Peter Mweta (M/Kiti) wa kwanza kushoto akikabidhi zawadi kwa Bw, Bruce siku ya kuagana nae na katibu wa (SVSC) Bw. Suleiman Mgaya akishuhudia kwa karibu makabidhiano hayo.
Tuma ujumbe mfupi kumtakia maisha marefu na yenye furaha na ama...
Iliwachukua dk 23 tmu ya mbezi veteran inayochezewa na mchezaji ambaye ni mwanachama wa Survey veteran Bw Octor kupata goli la kuongoza lililofungwa kwa mkwaju mkali kutokea upande wa kushoto. Kabla ya kwenda mapumziko Timu ya survey ilisawazisha kupitia kwa winga wake hatari Moses baada ya kupokea pasi mujarab kutoka kwa Peter Mweta (Mwenyekiti).
Kama ilivyo ada kwa Survey Veterans kucheza kwa dk 120 waliweza kupata goli la kuongoza liliofungwa...