
Timu ya SVSC kabla ya mchezo kuanza. Kutoka kulia mstari wa mbele ni Jummanne, Hamis Shomari, Kobi, Iddi Kaoneka, Samweli mbaga, Kilibe, Michael Simbaulanga, John Mbitu, Peter Ngassa, Abdala Hassan. waliosimama kutoka kushoto ni Sha Pelee, Mwalimu Bomba, Innocent Lyimo, Peter Ndossa, Momo, Innocent Kuzengwa, Salum Mvule, Carlos, na Shev
Timu ya Mapinga Veterans ya Mapinga mkoani Pwani Wilaya ya Bagamoyo iliwafunga timu ya SVSC kwa magoli 4-2...