Friday, 14 April 2017

SURVEY VETERANS YATOKA SARE YA MAGOLI 2-2 NA TIMU YA JITIMAI FC

Michuano ya pasaka imeanza leo visiwani Zanzibar ambapoTimu ya SVSC imelazimishwa sare ya magoli 2-2 na timu ya JITIMAI FC baada ya mchezo mkali ulifanyika katika uwanja wa Aman mjini Zanzibar... Wafungaji goli la kwanza captain PETER AMBROSE NGASSA na la pili BENSON MWEMEZI HAG...

SURVEY VETERANS YASAFIRI LEO KWENDA ZANZIBAR KWA MICHEZO YA PASAKA

Wadau, kwa niaba ya uongozi wa SVSC na jamii yake yote napenda niwataarifu team itasafiri kwenza Zanzibar kama ilivyopangwa siku ya Ijumaa tarehe 14th April na kurudi J3 17th April. Wanaosafiri nawafahamisha kuwa reporting time saa 12:30 asubuhi na Chombo kinaondoka saa 1:00 kamili asubuhi hayo ni masaa ya kiswahili. Tickets zipo kwa Katibu na yeye ndio mratibu na mkuu wa msafara. Napenda kutoa shukrani mno kwa wale waliochanga na wakashindwa...