Wednesday, 28 December 2016

SURVEY VETERANS YANG'ARA MKOANI TANGA

Mpira kazi!! Beki timu ya Upinzani akimsukuma Iddy Ngaoneka huku Beki hatari Shukia akiwa tayari kuondoa mpira katika eneo la hatari Baadhi ya wachezaji waliosafiri na timu mkoani Tanga; kutoka kushotowaliokaa Franka Gaspa, Said Seif. Waliosimama kutoka kushoto; Ahmad Shaweji, Peter Ngassa,Richard Shukia,Iddy Ngaoneka,Mohamed Adam,Steven Nyenge,Emmanuel Ekingo na Ally Mgaya. ...

SURVEY VETERANS YAFANYA VIZURI MICHEZO YA BONANZA TANGA

Steven Nyenge (stevovo) akiuweka mpira kwenye imaya yake huku Arbart Sengo akimsogelea kwa msaada huku Ekingo na Mohamed Zengwe wakiwa wanawalinda wachezaji wa upinzani wasilete madhara. SVSC walishinda 2-0 Dah.... Game tight... Ally Mgaya kushoto anaonesha anamwambia Kept Peter Ngasa kulia .....Unaweza ukafa......Mohamed Adam akiwa amechoka baada ya mchezo kumalizika na SVSC kushinda 2-0  Ally Mgaya kushoto na Richard Shukia...