Wednesday, 13 February 2019

Mr. JOHN MURIU MBITU ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA SURVEY VETERANS SPORTS CLUB

Katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 9/2/2019 wanachama na wapenzi wa SVSC walimchagua Bw. John Muriu Mbitu kuwa Mwenyekiti mpya kwa kura 24 za ndiyo  kwa kipindi cha miaka minne (4).Bw. Mbitu alimshinda Bw Peter Mweta ambaye alikuwa anagombea kwa mara ya pili kwa kupata kura saba (7).Viongozi wengine waliochaguliwa ni.Eng. Shaban Kambabhe Makamu Mwenyekiti na Bw Suleiman Rajab Mgaya kuwa Katibu Mkuu Nafasi ya Mhazini mkuu haikupata mgombea...