Tuesday, 23 July 2019

TIMU YA SVSC WAKIWA WASENGO INN

Timu ikiwa Wasengo Inn kwa vinywaji na nyama choma. ...

MATUKIO KATIKA PICHA TIMU IKIWA MAZOEZINI

Timu ya SVSC baada ya mazoezi wachezaji na wanachama wakimsikiliza kiongozi chini ya mtu. Madam Detah, Peter Ngassa na ,Siasa na Kelvin  na wengine waliosimama wakimsikiliza kiongozi baada ya mazoezi. Salvatory Malongo aliyevua chati akionesha msuli wake na six parks..... ,......Siyo mchezo haikuwa rahisi.........

TIMU YA SVSC YAALIKWA WASENGO INN

Timu ya Survey Veterans ilipata mwaliko wa Wasengo Inn iliyoko Makongo DTV ambapo pamoja na mambo mengine timu kwa pamoja ilijumuika pale kwa vinywaji na, supu na nyama choma. Mwenyekiti John Mbitu kulia na Musa Siwiti kulia wakipata vinywaji Wasengo Inn  ...