Tuesday, 26 August 2014

MECHI YA KIRAFIKI KATI YA SVSC NA AZAM VETERANS

Ndugu wanamichezo na wapenzi wa SVSC, Kutakuwa na mechi ya kirafiki kati ya Timu yetu na Timu ya Azam Veterans  siku ya ijumaa tarehe 29/08/2014 saa 11:30 jioni katika uwanja wa Azam Complex Chamazi. Kwa kuwa itakuwa ni siku ya kazi, tunashauriwa kuwasiliana ili kusaidiana usafiri kwa wale wenye vyombo binafsi vya usafiri ili tuweze kuwahi kufika kwa pamoja. Naomba tusaidiane kwa hili ili kuweza kulinda heshima hii tuliyopewa na wenzetu wa Azam. Nawatakia Utekelezaji Mwema. Suleiman Mgaya Katibu Mkuu  SV...

KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SVSC

Wanachama na wapenzi wa SVSC mnakumbushwa kwamba kutakuwa na mkutano mkuu  wa wanachama wote tarehe 30/08/2018 jumamosi saa 10:00 asubuhi baada ya mazoezi katika chumba cha Mikutano Chuo Kikuu ardhi eneo la Estates. Agenda kuu ni kujadili na kupitisha marekebisho ya kanuni na katiba ya SVSC.  Wajumbe tunahimizwa kuhudhuria kwa wingi bila kukosa kwa ajili ya maendeleo ya timu yetu.  Chakula na vinywaji baridi vitakuwepo Katibu Mkuu  S...

BAADHI YA VIONGOZI WA SURVEY VETERANS

Viongozi walioambata na timu wakiwa katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Kutoka kushoto ni Kaimu Katibu  Bw Shabani Kambanghe, Dr. Rasul Ahmed Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu Bw. Suleiman Mga...