Sunday, 7 February 2021

MOROCO VETERANS YAPIGWA GOLI 3-1

Magoli ya Ally Mgaya, Richard Mbunda na Bato yalitosha kuwaangusha Moroco Veterans ambao ilikuwa mara yao ya kwanza kucheza kwenye uwanja wa nyumbani wa SVS...