Sunday, 30 August 2015

ZAWADI YA TIMU KWA RAMADHANI BOMBA

Timu ya SVSC katika kufahamu umuhimu wa Mwl, kwa kushirikiana na Mwl Bomba walikubaliana tumnunulie king'amuzi cha Azam kama zawadi ya timu kwake, Matukio ya picha hapo chini yanaonesha mahabidhiano hayo. M/M/kiti Dkt. Rasul akikabidhi king'amuzi kwa Mwl Bomba kama zawadi ya timu katika siku Bomba Day huku Capt Mohamed Adam akishuhudia kwa karibu. Bw, Ramadhani Bomba akiangalia kwa furaha zawadi yake  ...

SHEREHE YA KUADHIMISHA BOMBA DAY ETINA BAR & RESTAURANT

Baada ya mchezo wa kuadhimisha siku hii muhimu, kulikuwa na sherehe iliyoandaliwa na wanachama kwa ajili ya kumpongeza mwalimu kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya katika timu. MATUKIO YA PICHA ANAONESHA, Katibu Mkuu Suleiman Mgaya , Kaimu Katibu Shabani K. aliyeshika simu na Kaimu Mwenyekiti Dkt, Rasul wakiwakaribisha wapenzi na wanachama katika sherehe ya kuadhimisha siku ya Bomba day Etina Bar &Restaurant. David Kiganga akifungua champagn...

MATUKIO YA PICHA KATIKA MCHEZO WA KUMUENZI MWL RAMADHANI BOMBA

MATUKIO YA PICHA KATIKA MCHEZO WA KUMUENZI MWL RAMADHANI BOMBA Musa Siwiti kushoto, Beki hatari Joseph Mwasenga katikati na James Kabambo kulia kabla ya mchezo (jezi imempendeza sana hii) Frank Gaspa  timu Zengwe  Beki kisiki Makoye Timu Zengwe Luku akionesha alama ya vidole viwili kwamba tutawafunga 2 ila Zengwe la Muddy Zengwe lilisababisha tufungwe tatu Hii ndiyo Timu ZENGWE iliyoibuka na Ushindi siku ya Bomba Daya...

BOMBA DAY, BOMBA DAY, BOMBA DAY

Siku hii muhimu kwa wana SVSC ni siku ya kukumbukwa sana kwani timu ilizindua pia jezi mpya kwa ajili ya timu kama picha zinavyoonesha. Jezi mpya kama zinavyooneka na . Hii ni Timu Bomba ndiyo waliopata nafasi ya kuzindua jezi hizi.Kutoka kulia walioinama ni Mbunda,Osca,Noel,Kabambo,Musa,Feyi,Mwasenga na waliosimama kutoka kushoto ni Charles, John Mbitu,Mahoka,Kione,Ally,Rasul,Juma,Bomba,Hagai na Mzee wa timu NDunguru....

BOMBA DAY ,BOMBA DAY, BOMBA DAY, BOMBA DAY, BOMBA DAY, BOMBA DAY

BOMBA DAY ,BOMBA DAY, BOMBA DAY, BOMBA DAY,  Hivi ndivyo ilikuwa ikitamkika baada ya wazo zuri lililotolewa na mmoja wa wanachama wa SVSC katika kutambua umuhimu na utayari wa kuitumikia timu ambao Bw, Ramadhani Bomba ameuonesha katika kuitumikia timu toka imeanzishwa kama mwl wa timu, Wazo lilitimia pale wanachama kwa pamoja waliamua kutoa michango yao ili kufanikisha shughuli hii. Tarehe 29/08/2015 ilikuwa siku muhimu katika Timu ya SVSC...