
Baada ya mchezo kumalizika katika uwanja wa BBV sherehe iliendelea katika ukumbi wa Maendeleo Bar wanaoonekana kwenye picha ni wachezaji mchanganyiko wageni na wenyeji.
Supu ililiwa kama kawaida pamoja na vinywaji laini.....
Kama kawaida vinywaji vigumu vilikwepo na wachezaji waliendelea kufurahi kwa pamoja....
David Kiganga kushoto na Idd Ngaoneka wakiendelea na supu huku viburudisho vikionekana kwa mbalaaaali...vikileta maji ya kunawa...