Thursday, 18 September 2014

MVUA YAWAOKOA WAUKAE WASIKAE KATIKA UWANJA WA NYUMBANI WA SVSC

Mvua iliyoanza kipindi cha pili katika mechi ya kirafiki kati ya Survey Veteran na Timu ya WAUKAE Veterans kutoka Mwananyamala, iliwalazimisha Survey Veterans kutoka suluhu ya goli 1- 1 baada ya hali ya uwanja kutoweza kuchezeka tena baada ya kujaa matope. Mechi hii itarudiwa tena hapo baadae.. Picha za Matukio ya Mechi. ...