Wednesday, 29 July 2015

TIMU YA LUGALO VETERANS YAFUTA UTEJA KWA SVSC VETERANS

Iliwachukua dk 15 timu ya Lugalo kujipatia goli la kuongoza baada ya kutokea piga nikupige katila lango la SVSC. Survey ilisawazisha goli lake kupiti Winga hatari Mussa Siwiti baada ya kuunasa mpira uliokuwa umepigwa na golikipa wa Lugalo Veterans. TIMU zote zilifanya mabadiliko ya wacheza lakini Lugalo veterans walifaidika na mabadilko hayo na kujipatia ushindi wa goli 4-...