Wednesday, 22 August 2018

TIMU YA BREAK POINT YAKIONA CHA MOTO KWA SURVEY VETERANS

Bw. John Mbitu "Benteke au Morata" wa pili kutoka kushoto waliosimama na Timu yake ya Friends of Break Point kabla ya mchezo ambapo walichapwa magoli 3-0 na timu ya Survey Veterans Timu marafiki ya Mwanachama wa SVSC  mwenzetu Bw. John Mbitu "Benteke" ilijikuta katika wakati mgumu sana baada ya kupapaswa magoli 3-0 na timu ya SVSC . Morata kama anavyojulikana kwnye timu ya Friends of Breakpoint akipasha mwili moto kabla ya...

FRIENDS OF BREAKPOINT YAPAPASWA NA SURVEY VETERANS

Paschal Fumbuka wa mbele kulia, Mfungaji wa magoli ya SVSC na wachezaji wenzake wakimsikiliza mwalimu hayuko pichani kabla ya mchezo kuanza Ilikuwa zamu ya Timuya Friends of Breakpoint Kupapaswa na Timu ngumu , timu hatari , timu yenye wachezaji wengi na timu pekee katika jiji la DSM inayocheza dakika 120 katika kila mechi Timu ya Survey Veterans. Magoli ya Michael Fumbuka  yalitosha kabisa kupeleka kilio katika timu ya mwanachama mwenzetu...