
Pamoja na kuchezesha vijana wadogo badala ya Veterans, Timu ya Frolida kutoka kimara ilijikuta ikilazimisha sare ya magoli 3-3 na Timu ngumu Tanzania bara na Visiwani Survey Veterans. Ikiwa ni mechi yake ya pili toka mwaka umeanza ikiwa imeshinda mechi moja na kutoka sare mara moja, ilipambana vilivyo kuhakikisha haipotezi mchezo kirahisi na kulinda heshima yake katika uwanja wake wa nyumbani.
Timu ya Survey Veterans ipo katika maandalizi...