Tuesday, 22 December 2015

GASABILE VETERANS YAKIONA CHA MOTO KWA SURVEY VETERANS

Timu ya SVSC ilitoa kipigo kikali mbele ya Gasabile Veterans katika uwanja wao kwa kuibugiza magoli 4-1. SVSC ikicheza katika ubora wake, iliwachukua dakika 15 kupata goli la kuongoza kupitia beki wake hatari mwenye misuri minene na mashuti makali Ahmed Salumu baada ya kuwapita mabeki wa Gasabile na kuachia shuti kali la guu la Dhahabu na kuipatia SVSC goli la kuongoza. baadae Gasabile walisawazisha na hadi timu zinaenda mapumziko mabao yalikuwa...