Monday, 19 March 2018

REA FC YATOKA SARE 2-2 NA SURVEY VETERANS

Timu ya SVSC picha ya pamoja kabla ya mchezo na Timu ya REA FC katika uwanja wa Bandari Dar Es salaam. Kutoka kushoto waliosimama ni Mwl. Ramadhani Bomba, Peter Ngasa (Captain), Simanga, Chacha KIbago, Ekingo, Shabani Kambabhe, David Kiganga, Mohamed Adam (Captain msaidizi) na mstari wa mbele kutoka kushoto ni Hamis Shomari (gagarino), Alex Lubida, Michael beki hatari, Golikipa Katanje, Michael na  Abdala kasimu Shaban Kambabhe...

MAANDALIZI YA KUELEKEA MICHUANO YA PASAKA

Wachezaji pamoja na wanachama wakimsikiliza Mwalimu hayupo pichani baada ya mazoezi kuelekea michezo ya pasaka Captain Mohamed Adam akitoa maelekezo baada ya mazoezi kuelekea Michuano ya Pasaka Ambapo SVSC ni bingwa mtetezi wa kombe hili Peter Simon kulia akiomba msahama kwa wanachama na wapenzi wa SVSC baada ya kufungiwa kwa muda wa miezi miwili asijihusishe na michezo na timu ya SVSC . Ila wanachama walimuombea msamaha na kuruhusiwa...