Thursday, 20 April 2017

MATUKIO YA PICHA KATIKA MCHEZO WA SVSC vs WAZEE SPORTS

Raha ya ubingwa.. Innocent Lyimo (Mchaga) akibusu kombe baada ya kukabidhiwa.... Richard Mbunda na Tele kabla ya mchezo Kipa hatari Shaha akiwajibika langoni mwake kuokoa michomo ya wazee Sports.... Katibu Suleiman Mgaya akifuatilia kwa makini mchezo  Mlinzi hatari T. Bilauri na Peter Mweta  wakiwa makini kuhakikisha wapinzani hawapati nafasi ya kutufunga... Haikuwa kazi rahisi Mchomo hata ukiokolewa na kipa...

SURVEY VETERANS BINGWA WA MASHINDANO YA PASAKA -ZANZIBAR

Wachezaji wa timu ya SVSC wakifurahia ushindi baada ya kukabidhiwa kombe lao. Kutoka baada ya kuifunga wazee Sports ya Visiwani Zanzibar. Kutoka kulia ni Peter Mweta (mwenyekiti),Mohamed Zengwe (Captain) Innocent Lyimo Mchaga, Malongo na Ally Mgaya. Timu ya SVSC imetete ubingwa wake baada ya kuifunga timu ya Wazee Sports Club goli 1-0 lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga Africans Steven Nyenge (Stevovo). Wachezaji wa Timu ya SVSC wakiwa...