Wednesday, 27 February 2019

MATUKIO YA PICHA BAADA YA MCHEZO KUMALIZIKA

M/kiti wa SVSC Bw. John Mbitu akifurahia jambo alipokuwa akiwakaribisha wageni katika Bar ya Migombani. Baada ya mchezo kumalizika kati ya SVSC na Galacticos. wageni walikaribishwa katika Bar ya Migombani kwa ajili ya viburudisho kama matukio yanavyoonesha Add caption Mwenyekiti John Mbitu akiwa na Mwenyekiti mwenza wa Galacticos wakipata...

Tuesday, 26 February 2019

TIMU YA SURVEY VETERANS YATOKA SARE NA TIMU YA GALACTICOS

Timu iliyosheheni wachezaji wa timu ya Taifa yaTanzania na vilabu vikubwa Tanzania na nje ya nchi ilijikuta katika wakati mgumu pale ilipolazimishwa sare ya goli 1-1 n a Timu ya SVSC. Mchezo ulikuwa mzuri na wenye vionjo vingi na ufundi mwingi. Galacticos ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa mchezaji wao hatari Philip Alando na baadae timu ya SVSC ilisawazisha kupitia mpira wa adhabu uliopigwa kwa ufundi na Kelvin ambaye aliwahi kuchezea...

MCHEZO WA KIRAFIKI NA GYMKHANA VETERANS

Timu ya SVSC ilicheza mechi ya kirafiki na Jimkhana Veterans mchezo uliochezwa usiku. Mechi ilikuwa nzuri na ya Ushindani. ...