Saturday, 2 January 2016

MATUKIO YA PICHA KATIKA SHEREHE YA KUUAGA MWAKA 2015 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2016

Innocent Lyimo na Frank G mwenye Kibagalashia wakipata chakula katika sherehe hiyo Mwenyekiti kulia na Aaron Nyanda wakipata chakula Dominic Mbwete na wanawe wakipata msosi Captain Ahmad pamoja na wanachama wengine wakipata msosi Katibu mkuu Suleiman Mgaya na watoto wake wakipata chakula Captain Mohamed Zengwe na Bakuza wakiwa katika foleni ya chakula Bunyabunya Shamakala akigawa chakula Benson...

MATUKIO YA PICHA KABLA YA SHEREHE KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2016

REFA (Bunyabunya) aliyechezesha mechi kati ya Timu Sule na Timu Shebby Baadhi ya wachezaji wa Timu Shabani wakijiandaa kabla ya mchezo ...

KATIKA KUELEKEA SHEREHE ZA MWAKA MPYA. TIMU SULEMANI YAIFUNGA TIMU SHABANI GOLI 3-1

Timu Shabani kabla ya mchezo kuanza Survey veterans katika kuukaribisha mwaka mpya 2016. walicheza mechi ya kirafiki kati yao ambapo Mwalimu alipanga timu mbili ambazo ziliitwa. "Team Sulemani" na "Team Shabani. " ambao Bw. Sulemani ni Katibu Mkuu wa SVSC na Bw. Shabani ni Kaimu Katibu.Mchezo ulianza kwa kila timu kujilinda na kucheza kwa taadhari. Ilikuwa timu Sulemani iliyoanza kupata goli kupitia mshambuliji wao Aaron Nyanda baada ya kupata...

SALAMAU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA KUTOKA MWENYEKITI WA SURVEY VETERANS

Wanachama na wapenzi wa SVSC napenda niwatakie heri ya Krismasi na mwaka mpya ninyi na familia zenu. Matukio mengi yametokea aktikati yetu mazuri na mabaya sina haja ya kuyataja lakini Mungu ni mwema ametufikisha hapa. 2015 imeisha Kwa Amani,Upendo ,mshikamano na ushirikiano wa hali ya juu sana ndani ya SVSC naomba tuhamie navyo 2016,changamoto kubwa tuliyopata ni kipato cha kuendesha timu yetu Kwa niaba ya uongozi nawashukuru sana Kwa...