Monday, 25 April 2016

MATUKIO YA PICHA KATIKA MASHINDANO HAYO

MATUKIO YA PICHA KATIKA MASHINDANO HAYO ...

SURVEY VETERANS BINGWA MICHUANO YA PASAKA

SURVEY VETERANS BINGWA MICHUANO YA PASAKA Timu ya Survey Veterans imelibakisha nyumbani kombe la michuano ya pasaka kutoka kwa maasimu wao timu ya Wazee Sports ya Zanzibar. Ikiwa imejiandaa takribani miezi miwili kwa kucheza mechi za kujipima nguvu, timu ya SVSC iliwachapa wazee Spots ya Zanzibar magoli 4-2 katika uwanga wa JKM Sports Park kidongo chekund...