
Timu ya SVSC iliwasili salama Visiwani unguja na kupokelewa na wazee Sports Club.
Peter Simon Akiwasili Unguja tayari kwa mashindano ya Pasaka ambapo SVSC iliibuka mshindi na kuchukua Kombe.
S. Malongo na Michael Simbaulanga wakiwasili Mjini Unguja.
Suleiman Mgaya mbele akifuatiwa na mtoto wake na wachezaji wengine wakiwasilimjini Unguja.
Benson Mwemezi kulia na Mwl. Bomba kushoto wakiwasili visiwani Zanzibar.
Osca Coby beki kisiki...