Wednesday, 20 November 2019

SURVEY VETERANS BINGWA BONANZA LA WANATAALUMA WA ARDHI

Mratibu wa Bonanza la wanataaluma SV T. Bilauri akikabidhi zawadi kwa mshindi wa wanza Kaptain wa Survey Veterans  Mohamed Adam (Zengwe) baada ya mchezo kumalizika na kuwafunga Surveyor wanafunzi kwa goli 4-1.

Timu ya Survey Veterans imeibuka mshindi katika bonanza lililoandaliwa na wapima Ardhi (Surveyors) lilifanyika katika uwanja wa Chuo cha Ardhi Dar es salaam.

Golikipa hatari wa SVSC  Emmanuel Mwandumbya  kushoto na Kaptain  Mohamed Adam wakiwa wameshikilia zawadin za mshindi wa kwanza baada ya kukabidhiwa na mwanaaji wa Bonanza hili Bw. T. Bilauri.

Surveyor wanafunzi wakifurahia zawadi kutoka kwa Mratibu SV T.Bilauri baada ya kuibuka washindi wa pili katika bonanza hili.

Mwenyekiti wa Survey Veterans  Bw. John Mbitu kushoto akiwashukuru waandaji wa Bonanza hili, na akimshukuru pia SV T. Bilauri kwa maandalizi mazuri ya Bonanza hili 

0 comments:

Post a Comment