
SURVEY VETERANS SPORTS CLUB YAFANYA ZIARA YA KIMICHEZO JIJINI MBEYA
Kikosi kamili kilichowakilisha Mbeya kutoka kulia walioinama, Osca Mwambungu,Mohamed Adam (Captain) Ahmed Shaweji,Suleiman Mgaya,Innocent Lyimo na Benson Hagai. kutoka kushoto waliosimama, Dkt Rasul Ahmed,Arbet Sengo,Steven Nyenge,Peter Mweta na Ramadhan Bomba (Mwalimu wa Timu)
Timu ya mpira wa miguu ya Survey Veterans Sports Club imefanya ziara ya michezo ya kirafiki jijini Mbeya...