
Baada ya sherehe ya kumpongeza Mwl Bomba masalia ya pesa yalisalia na Mwenyekiti kumkabidhi Mwl kama matukio ya picha yanavyoonesha
.... Dah Asante sana Mwenyekiti..... Ndiyo inaonekana Mwalimu Bomba alikuwa akisema....M/kiti wa SVSC Bw. Peter Mweta akimkabidhi masalia ya siku ya Bomba day Mwl Ramadhan Bomba kiasi cha pesa Tsh 60,000/= pesa ambazo zilibaki katika matumizi ya siku ya sherehe huku katibu wa SVSC Bw. Suleiman Mgaya akiangalia...