Wednesday, 2 January 2019

TIMU ZENGWE NDEMBENDEMBE

Timu ZENGWE kabla ya mchezo kuanza. Kutoka kulia mstari wa mbele, Mzee Kasim, Michael, Mwandumbya golikipa, Hemed Mjapenga, Mzee Salum Mvule, Mchaga Innocent Lyimo, Osca kobi. Waliosimama kutoka kulia ni Edwin Ekingo, Kisanga, Ahmed, Simbaulanga, Innocent Mido,Hamad Shaweji,Dk mwinyi na Albart Sengo. Timu ZENGWE ilijikuta katika wakati mgumu sana pale ambapo hadi kipindi cha kwanza ilikuwa inaongoza kwa goli 4-1 lakini hadi kipyeanga cha mwisho...

TIMU BOMBA YAIFUNGA TIMU ZENGWE FAINALI ZA MWAKA MPYA.

Baada ya mchezo kumalizika na Timu Bomba ikiwa imepoteza mchezo, Mwenyekiti Peter Mweta kushoto  akimfariji Osca Coby baada ya mchezo kumalizika. Gooooooooo!!!!!!!!!! Timu Bomba wakimsikiliza mwalibu Bomba hayupo pichani kabla ya chezo kuanza Golikipa alipata taabu sanaaaaa.....   Timu BOMBA katika picha Kabla ya mchezo kuaza. Ambapo iliifunga timu Zengwe kwa Magoli 5-4 ...