
Ndugu wanachama na wapenzi wa Survey Veterans Sports Club,Taratibu za safari ya Zanzibar imekamilika na timu itaondoka na msafara wa watu 32 ambao walijitokeza na waliokamilisha taratibu za safari. Safari itakuwa siku ya ijumaa na boti itakayoondoka saa 1 kamili asbh. Timu itaongozana na Mwenyekiti Bw. John Mbitu, M/M/kiti Eng. Shabani Seleman na Katibu mkuu Bw. Suleiman Mgaya pamoja na viongozi wengine wa kamati kuu na kamati ndogo ndogo.
Ratiba...