Wednesday, 4 May 2016

MAADHIMIO YA MKUTANO MAALUM WA WANACHAMA NA WAPENZI WA SURVEY VETERANS SPORTS CLUB

MAADHIMIO YA MKUTANO  MAALUM WA WANACHAMA NA WAPENZI WA SURVEY VETERANS SPORTS CLUB Ndugu wanachama na wapenzi wa SVSC napenda nichukue nafasi hii kuwafahamisha kuwa, kufuatia mkutano mkuu wa kawaida wa wanachama uliofanyika tarehe 26/o4/2016, yafuatayo yaliamuliwa. Ada ya uanachama itabali ileile ya Tsh 10,000/= kwa mwezi. Wale wote ambao walihuisha uanachama wao na wanachama wapya ambao walikuwa na madeni ya ada waanze kulipa madeni yao kuanzia mwezi wa tano (May) ili kuendelea na uanachama, vinginevyo itakapofika mwezi wa sita June)...

MKUTANO MAALUM WA WANACHAMA NA WAPENZI WA SURVEY VETERANS SPORTS CLUB

MKUTANO MAALUM WA WANACHAMA NA WAPENZI WA SURVEY VETERANS SPORTS CLUB Kutakuwa na Mkutano mkuu wa Wanachama na wapenzi wa Survey Veterans Sports club Siku ya tarehe 26/04/2...