
Mara ya pili sasa Boko Veterans inaifunga SVSC. mara ya kwanza ilikuwa magoli 7-2 na mara hii ni 4-3. Magoli ya SVSC yalifungwa na Mwinyi Mwiny magoli mawili na goli la tatu lilifungwa na Sha Pelee
Timu ikifanya Maandalizi kabla ya mechi katika uwanja wa Boko Beach Veteran...