Timu ya Survey Veterans imerejea leo mapema ikitokea Ziarani Mwanza ambapo katika mechi yake na wenyeji Mwanza Starehe Veterans iliwafunga goli 4-2
Picha za matukio:
Picha juu na chini kikosi kilichoiangamiza Mwanza Starehe Veterans
Captain Peter Ngassa wa pili kutoka kushoto alifunga magoli mawili..
0 comments:
Post a Comment