Toka mwaka huu umeanza na unaelekea mwisho Timu ya Azam Juice imekuwa ya kwanza kuifunga SVSC kwa taabu timu ya SVSC magoli 3-2 katika uwanja wake wa nyumbamni. Azam Juice ikichezesha vijana tupu ilitangulia kwa goli 2 kabla ya striker hatari wa SVSC Mbunga kuipatia timu yake bao la kwanza. Hadi tunaenda mapumziko magoli yalikuwa 2-1. Baada ya timu zote kurejea kipindi cha pili kila timu ilifanya mabadiliko kadhaa na walikuwa ni Azam waliotoka na ushindi baada ya mpira kumalizika.
Mbunda
ReplyDelete