Mvua iliyoanza kipindi cha pili katika mechi ya kirafiki kati ya Survey Veteran na Timu ya WAUKAE Veterans kutoka Mwananyamala, iliwalazimisha Survey Veterans kutoka suluhu ya goli 1- 1 baada ya hali ya uwanja kutoweza kuchezeka tena baada ya kujaa matope. Mechi hii itarudiwa tena hapo baadae..
Picha za Matukio ya Mechi.
Thursday, 18 September 2014
MVUA YAWAOKOA WAUKAE WASIKAE KATIKA UWANJA WA NYUMBANI WA SVSC
05:23
1 comment
Lazima wangekaa
ReplyDelete