Mwenyekiti wa Survey Veterans Sports Club Bw. Peter Mweta aliungana na wachezaji na wanachama kwa chakula cha mchana klabuni Etina Bar and Restaurant katika sherehe ya kuuaga na kuukaribisha mwaka mpya 2015.
Mkurugenzi mtendaji wa Etina Bar and Restaurant alifungua Shampeni kwa ajili ya ufunguzi wa sherehe hiyo.
Wanachama na wapenzi walijumuika pamoja katika chakula na vinywaji vilivyokuwa vimeandaliwa kwa ustadi mkubwa. Matukio ya picha yanaonesha mwenendo wa sherehe hiyo.
Angali hapo chini.....
Friday, 2 January 2015
SURVEY VETERANS YAFANYA SHEREHE YA KUUAGA NA KUKARIBISHA MWAKA 2015
04:17
No comments
0 comments:
Post a Comment