 |
Steven Nyenge (stevovo) akiuweka mpira kwenye imaya yake huku Arbart Sengo akimsogelea kwa msaada huku Ekingo na Mohamed Zengwe wakiwa wanawalinda wachezaji wa upinzani wasilete madhara. SVSC walishinda 2-0 |
 |
Dah.... Game tight... Ally Mgaya kushoto anaonesha anamwambia Kept Peter Ngasa kulia |
 |
.....Unaweza ukafa......Mohamed Adam akiwa amechoka baada ya mchezo kumalizika na SVSC kushinda 2-0 |
Ally Mgaya kushoto na Richard Shukia akifatilia mchezo baada ya kupumzishwa,....
 |
Muuaji wa magoli ya SVSC Arbart Sengo akiwaeleza wachezaji wenzake hawapo pichani jinsi ya kuwatoka mabeki wa timu Pinzani |
 |
Kepteni wa mchezo huo Ahmad Shaweji akiwa anafuatilia mchezo baada ya kupumzika |
 |
Golikipa Shah Pele aliyevua shati, Godwin Ekingo aliyekaa kwenye kiti, Mnyama Iddy Ngaoneka kulia na Mohamed Zengwe wakijadili jambo baada ya mchezo |
 |
Frank Gaspar Baada a kupumzishwa akitoa maelezo kwa wachezaji wengine .. |
 |
Mtaalamu wa pass uwanjni Stevovo Nyenge bada ya mchezo kumalizika |
 |
Arbart Sengo akijiandaa kumtoka beki wa timu pinzani huku Iddy Ngaoneka akiwa karibu kwa msaada |
 |
Golikia wa Mashindano Shah Pelle akiokoa mchomo kutoka kwa mshambuliaji wa timu ya upinzani... |
0 comments:
Post a Comment