Timu ya wahenga Sports Club inayoundwa na waandishi wa habari za michezo toka vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo Tv Magazeti na Radio, walikutana na dhahama pale walipobugizwa magoli 5-0 na Svsc. Alikuwa ni Dr. Mwinyi ambaye alifungua ukurasa wa magoli yakifuatiwa na magoli yaliyofungwa na Mh Ridhiwani kikwete, Hassan Musa na Moses. hadi mpira unaisha SVSC 5 na Wahenga hawakupata kitu.
![]() |
Kiungo shabani Kambabhe na Frank Maria wakinyoosha viungo kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Captain Peter Ngasa kulia na Moses kushoto kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Wahenga Sports kabya ya mchezo kuanza |
0 comments:
Post a Comment