Monday, 19 March 2018

REA FC YATOKA SARE 2-2 NA SURVEY VETERANS


Timu ya SVSC picha ya pamoja kabla ya mchezo na Timu ya REA FC katika uwanja wa Bandari Dar Es salaam. Kutoka kushoto waliosimama ni Mwl. Ramadhani Bomba, Peter Ngasa (Captain), Simanga, Chacha KIbago, Ekingo, Shabani Kambabhe, David Kiganga, Mohamed Adam (Captain msaidizi) na mstari wa mbele kutoka kushoto ni Hamis Shomari (gagarino), Alex Lubida, Michael beki hatari, Golikipa Katanje, Michael na  Abdala kasimu







Shaban Kambabhe wa SVSC akivaa viatu tayari kwa mchezo
Timu ya REA FC katika picha ya Pamoja kabla ya mchezo katika uwanja wa Bandari Dar



0 comments:

Post a Comment