 |
Paschal Fumbuka wa mbele kulia, Mfungaji wa magoli ya SVSC na wachezaji wenzake wakimsikiliza mwalimu hayuko pichani kabla ya mchezo kuanza |
Ilikuwa zamu ya Timuya Friends of Breakpoint Kupapaswa na Timu ngumu , timu hatari , timu yenye wachezaji wengi na timu pekee katika jiji la DSM inayocheza dakika 120 katika kila mechi Timu ya Survey Veterans. Magoli ya Michael Fumbuka yalitosha kabisa kupeleka kilio katika timu ya mwanachama mwenzetu John Mbitu (Mfadhili wa timu ya Breakpoint) anayejulikana kwa jina la kimichezo "Benteke" kwa upande wa SVSC na " Morata" kwa upande wa Breakpoint. Pamoja na kuingiza marafiki zake vijana lakini ilikuwa ngumu sana kwa wazee wazoefu wa SVSC.
 |
Mwalimu Bomba mwenye jezi ya Yanga akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo kuanza. |
 |
Hassan Mussa kulia, Dkt Mbunda na husein wakimsikiliza mwalimu wakati wa mapumziko. (Dr Mbunda akitoa matope kwenye kiatu chake tayari kwa kipindi cha pili) |
 |
Wakati wa Mapumziko timu ikimsikiliza mwalimu. |
 |
Mjumbe kamati ya Ufundi Ally Mgaya akitoa tasmini ya mchezo kipindi cha mapumziko kushoto kwake Kasimu Ramia akimsikiliza kwa makini. |
0 comments:
Post a Comment