Tuesday, 19 February 2019

GOBA VETERANS YACHAPWA MAGOLI 5-2 NA SVSC














Timu ya Goba ilijikuta katika kipindi kigumu sana baada ya kukumbana na kichapo cha mbwa mwizi. japo kulikuwa na mvua iliyoanza kipindi cha pili lkn haikusaidia kuwaacha salama.

0 comments:

Post a Comment