Timu ya Survey Veterans ilipata mwaliko wa Wasengo Inn iliyoko Makongo DTV ambapo pamoja na mambo mengine timu kwa pamoja ilijumuika pale kwa vinywaji na, supu na nyama choma.
![]() |
Mwenyekiti John Mbitu kulia na Musa Siwiti kulia wakipata vinywaji Wasengo Inn |
0 comments:
Post a Comment