Sunday, 1 September 2019

KIKAO CHA MAANDALIZI YA UJENZI WA MALIWATO PAMOJA NA KUKAMILISHA MALENGO YA SURVEY VETERANS YA KUADHIMISHA MIAKA 20

Mwenyekiti SVSC Adv. John Mbitu akiongoza kikao cha maanadalizi ya ujenzi wa Choo na Bafu pamoja na kuadhimisha miaka 20 ya Survey Veterans.

Kikao cha maandalizi ya kuadhimisha miaka 20 ya SVSC katika kutimiza malengo ya Ujenzi wa vyumba vya kubadilishia nguo na maliwato katika uwanja wa mazoezi.

Wajumbe wa Mkutano kutoka kulia ni Bw. Jeff Tibenda, Eng Alex Lubida na Bw T Bilauri wakibadilishama mawazo kabla ya kikao kuanza.

Wajumbe kutoka kulia ni T. Bilauri,Benson Mwemezi, Madam Detah Daudi na Mwenyekiti John Mbitu wakimsikiliza mjumbe hayupo kwenye picha alipokuwa akichangia mada katika kikao hicho.


Mjumbe Bw. Peter Ngassa akifafanua jambo huku Mwenyekiti akimwangalia kwa karibu .

0 comments:

Post a Comment