Ilikuwa usiku wa furaha sana baada ya Magoli mawili kutoka kwa straika mwenye misuri minene Salvatory Malongo yaliiwezesha timu ya SVSC kuifunga Gymkana kwa magoli 2-1.
 |
.....Ukifika golini tulia..... Golikipa Kilibe akimuelekeza malongo atakapokuwa uwanjani. |
 |
.......Edgar Devis....... wa SVSC Shaban Seleman akipasha misuri moto kabla ya mchezo kuanza. |
 |
Mjumbe kamati ya Mchezo Frank Gapser mwenye kofia akiwa anatoa maelekezo kwa wachezaji watakaoanza kipindi cha kwanza...Kulia kwake ni Mfungaji wa magoli mawili yaliyoipatia timu ya SVSC ushindi dhidi ya Gymkana club. |
 |
Mwenyekiti katikati mwenye mpira, Captain kulia na Sha pele wakimsikiliza mwalimu abla ya mchezo kuanza. |
0 comments:
Post a Comment