Mara ya pili sasa Boko Veterans inaifunga SVSC. mara ya kwanza ilikuwa magoli 7-2 na mara hii ni 4-3. Magoli ya SVSC yalifungwa na Mwinyi Mwiny magoli mawili na goli la tatu lilifungwa na Sha Pelee
![]() |
Timu ikifanya Maandalizi kabla ya mechi katika uwanja wa Boko Beach Veterans |
0 comments:
Post a Comment