Wednesday, 17 April 2019

TWALIPO VETERANS YALIPIZA KISASI KWA SVSC


Kikosi kilichoanza katika mechi kati ya SVSC na Twalipo Veterans. Kutoka kulia mstari wa mbele walioinama ni Edwin Mvanga, Michael Simbaulanga, Hemed, Frank Gaspar, Mohamed Adam na Golikipa. waliosimama mstari wa mbele kutoka kushoto ni Bruce Helman, Abdalla Kassimu, Kelvin Haule,Joseph mwasenga na Siasa.

Baada ya kulazimishwa sare na SVSC katika mchezo wa kwanza uliofanyika uwanja wa Taifa, Timu ya Twalipo Veterans iliweza kuwafunga magoli 4-3 timu ngumu ya Survey Veterans katika uwanja wake wa nyumbani Chuo kikuu Ardhi.






.....Mambo ya Dihno hayo..... Kelvin Haule akitoa pasi kwa mbwembwe huku mwalimu Bomba akiangalia kwa mbali pamoja na wachezaji wengine.

0 comments:

Post a Comment