Monday, 19 October 2020

TFL BONANZA TCC CHANG'OMBE: SURVEY VETERANS YAINGIA FAINALI.

 Mwenyekiti Survey Veterans  Bw. John Mbitu kushoto waliokaa wakifuatilia mchezo huku wachezaji wengine wa SVSC wakifuatilia kwa karibuTimu ya Survey Veterans imeingia fainali ya Michuano ya Bonanza lililoandaliwa na TFL katika kuazimisha siku ya Kumbukumbu ya kifo cha Mwl Nyerere baada ya uitoa Timu ngumu ya Azam Veterans. Penati mbili zilizopanguliwa na golikipa hatari Kiribe Soso" zilitosha kuwaondosha Azam kwenye Michuano hiyo.Golikipa...

Monday, 24 August 2020

MATUKIO KATIKA MCHEZO

From other Country... Jeff Jeff... ...

FLORIDA VETERANS YAILAZA SURVEY VETERANS

Kiungo mchezesha timu Shabani Kambabhe akitoa pasi kwa mwenzake hayupo pichani. SVSC ilifungwa magoli 6-5 Ikiwa imesheheni vijana wenye uwezo mkubwa, Timu ya Floria iliwafunga wazee wa Survey Veterans kwa magoli 6-5 Timu ya Survey Veterans waliosimama mstari wa mbele kutoka kulia ni Siasa ( Siabonga), Agogo, Mwemezi, Innocent Lyimo, Shabani Kambabhe, Richard Mbunda, Hamad Shaweji, Mkapa, Elly na Mwalimu Bomba. walioinama mstari wa kati ni golikipa...

Wednesday, 22 July 2020

KIMARA VETERANS KIBONDE MBELE YA SURVEY VETERANS

Timu ya SVSC waliosimama kutoka kulia ni Trezoo, Baton, Simango, Elly, Siasa, Hamisi Shomari (gagarino), Innocent Kuzengwa, Nelly, Mkapa, Peter Ndossa na Mwl Bomba. Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Golikipa William, Shevichenko, Peter Ngassa, Emmanyel mwandumbya, Kilibe Soso, Magoti, Michael Mvanga na Mussa Siwiti. Timu ya Kimara Veterans ilijikuta katika wawakati mgumu baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-3 mbele ya Timu Hatari SVSC.Magoli...

Sunday, 12 July 2020

MIPANGO VETERANS YAILAZA SURVEY VETERANS

Timu ya Survey Veterans waliosimama mstari wa nyuma kutoka kushoto ni John Mbitu (Benteke), Bilaul, MOhamed Zengwe, Magoti, Iddi Ngaioneka ,Elly, S. Malongo, Faraji, na Peter Ndossa. Waliochuchuma kutoka kulia ni Rasul Ahmed, Emmanuel Mwandumbya, Joseph Mwasenga na Mussa Siwiti Timu ya Mipango Veterans imeifunga timu ya SVSC magoli 4-3 katika uwanja wa Taifa.. Ikitangulia kwa magoli 3-0 hadi kipindi cha kwanza kumalizika, Survey Veterans ilikuja...

Sunday, 8 March 2020

MATUKIO YA PICHA KWENYE MCHEZO HUU

Muuaji wa magoli mawili ya SVSC Benson Hagai akitambuka galuga la Beki wa Temboni Veterans na kuipatia timu yake goli la pili. Mshambuliaji hatari Malongo katika harakati za kumpiga chenga beki........

ILIKUWA ZAMU YA TEMBONI VETERANS KUPATA KIPIGO CHA 4-2

Kikosi cha SVSC kutoka kushoto mstari wa mbele Malongo S, Simbaulanga S., Mbitu J, Shomari H, Kilibe S, Captain Ngassa na Omary M. Waliosimama  kutoa kulia ni Adam Zengwe,Innocent Lyimo,elvin Haule,Bilauri T, Hagai B na Shaban Kambabhe. Benson Hagai, magoli mawili, Kelvin Goli moja na Button goli moja yalitosha kabisa kuwafundisha mpira timu ya Temboni Veterans. Ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani SVSC ilikuwa katika ubora wake iiwa...

Wednesday, 1 January 2020

SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2020

 Baada ya mechi ya kirafiki Timu ilikusanyika katika Bar ya Migombani kwa ajili ya kuapata supu ya pamoja. ...

TIMU MAGIGE YALALA MBELE YA TEAM DETAH

Timu Manager Madam Detah akiwa na Captain wake Mohamed Zengwe kabla ya mchezo kuanza. Kama ilivyo kawaida kwa Timu ya Survey Veterans kusherehekea Siku kuu ya mwaka mpya kwa kucheza mechi za Wenyewe kwa wenyewe.  Timu Ziliundwa kwa kusaidia na Manahodha wa pande zote mbili Timu zilipewa majina ya wanachama Wenzetu ambao ni wanawake Dada Datah na Mama ambaye hutuhudumia juice wakati wa Mazoezi. Baada ya mpambano mkali timu ya Detah ilishinda...